Afrika kusini eneo la Mountain Table.
Hawa ni washiriki kutoka Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Bi Irine Kimario kutoka Marangu TC, Bw. Herman Pascal kutoka Shykom TC, Sixmund Paulo kutoka Monduli TC, Bi Yohana kutoka Tukuyu TC, Bw. Simon Mgode kutoka DUCE, Bi Prisila kutoka Songea TC na Bi Julieth Kiwelu kutoka Morogoro.
No comments:
Post a Comment